WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI MNAZI MMOJAMkuu wa kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Thomas Mushi akizungumza na mwandishi wa habari wa Magaziti ya Serikali TSN Bi. Lucy Lyatuu aliyetembelea katika banda hilo. 5z 
Baadhi ya maafisa wakiendelea na shughuli zao katika banda hilo la Wizara ya Viwanda na Biashara.

No comments:

Post a Comment