MKUTANO MKUU WA 8 WA UCHAGUZI WA JUMUIYA YA WAZAZITANZANIA ULIVYO FANIKIWA PAMOJA NA UZINDUZI WA MRADI WA BENKI YA JUMUIYA YA WAZAZI "FAMILY BANK"
Mkurugenzi wa Mradi wa Family Bank(T)ndugu Ibrahim S.Dauda katika matayarisho ya mwisho kabla ya uzinduzi utakao zinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dr Jakaya Kikwete katika ukumbi wa Nyerere mjini Dodoma .
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi Taifa Wakisherehekea Ushindi wa Viongozi Walio chaguliwa kuiongoza Jumuiya ya wazazi .
Mh Mbunge wa Kibaha vijijini Ndugu Hamud Abuu Jumaa Akiwa anafuatilia jambo kwa makini kabla ya uzinduzi wa Mradi wa family bank(T)Plc ukiambatana na uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi.

Mkurugenzi wa  ndugu Ibrahim S.Dauda akiwa na Meneja wa Mradi  Ndugu  Haji Abuu Jumaa wakijadili jambo kabla ya uzinduzi .

 Shazmaa Al-Karim Dewji akiwa na Baba yake Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Family Bank(T)PLC ndugu Al-karim Dewji

Timu nzima ya Mradi wa Benki hiyo waki sikiliza maelekezo mazuri kutoka kwa Waziri wa nchi ,Ofisi ya waziri Mkuu ,Sera,Uratibu na Bunge  Mh William Lukuvi 
Timu ya Mradi wa Benki Ya Wazazi wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya Uzinduzi na Waziri wa nchi ,Ofisi ya waziri Mkuu ,Sera,Uratibu na Bunge  Mh William Lukuvi       
Mwenyekiti Mteule wa jumuiya ya Wazazi tanzania  mara baada ya kuchaguliwa akiwa katika furaha .

Mkurugenzi Mtendaji Wa Mradi wa Family Bank(T)PLC ndugu Bahadru Dewji akiwa na mtoto wa kaka yake Shazmaa Al-karim wakisiliza kwa makini matokeo ya Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi katika Ukumbi wa Nyerere Mjini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi Wa Benki ya Wazazi Ndugu Al-karim Dewji katika pozi kabla ya uzinduzi

Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi Wa Benki ya Wazazi Ndugu Al-karim Dewji akibadilishana mawazo na Mbuge wa Ilala Mh Azan Zungu mara baada ya Mh Zungu kuchaguliwa  katika Ujumbe wa NEC kupitia Jumuiya ya wazazi.

Mheshimiwa Lukuvi Akiwa katika picha ya pamoja na staff wa family bank akiwepo mwana habari kutoka Radio Uhuru FM kutoka kulia ndugu Sigori Paul.
Miongoni mwa viongozi wa Mradi wa Family bank(T)PLC wakishauriana mambo flani,katika ukumbi wa Nyerere  mjini Dodoma.
Mwandishi wa habari Ndugu Sigori wapili kutoka kushoto akiwaStaff wa Mradi wa benki ya wazazi

No comments:

Post a Comment