TAARIFA YA SHULE ZA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA.

SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA ZAPATA MSAADA WA VIONA MBALI (TELESCOPES) 56 TOKA SHIRIKA LA TUME YA UNESCO TANZANIA:

Umoja wa Wazazi Tanzania umepokea msaada wa vionambali (Telescopes) 56 toka shirika la tume ya UNESCO Tanzania. Msaada huo umetolewa na Shirika hilo ili kuziwezesha shule zinazomilikiwa na Umoja wa Wazazi kufundisha somo la elimu ya Anga (Space science) tarehe 18/8/2012 kwenye ukumbi wa Shirika hilo mjini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Mh. Khamis S. Dadi (kulia) akikabidhi moja ya Telescopes kwa Mkuu wa Shule ya Isango Ndugu P. Mutagulwa iliyoko Mkoani Mara.


FAMILY BANK (T)PLC ,
Ni benki ambayo inatarajiwa kuanzishwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM Tanzani, yenye lengo la kumkomboa Mtanzania mwenye hali ya chini kiuchumi bila kujali itikadi za kisiasa, kwa kupitia utaratibu wa familia.
logo ya Family Bank (T)PLC
MIONGONI MWA SHULE ZA WAZAZI
Mbalizi High School ilipo Mkoani Mbeya  inavyo onekana katika majengo ya Shule hiyo.


Zahanati ya shule ya secondari Mbalizi inayo milikiwa na jumuiya ya wazazi Tanzania
SHULE YA SEKONDARI ITENDE
shule hii pia ni miongoni mwa shule za Jumuya hiyo ya wazazi Tanzania.
Umoja huyo wa wazazi Tanzania una miliki mali shule zisizo pungua 70 ndani ya Tanzania,
Shule hizo sasa hivi zina tarajiwa kuboreshwa zaidi na juhudi hizo ziko mbioni juu ya tathmini za uboreshaji wa shule hizo.
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ITENDE WAKIWA DARASANI
VIONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI ITENDE WAKIWA NA WAGENI KUTOKA UMOJA WA WAZAZI .

SHULE NYINGINE YA WAZAZI ILIOPO MKOANI MBYA
SHULE YA SEKONDARI META

HOTELI YA WAZAZI ILIPO ZANZIBAR
LA -FENICE HOTEL INAVYO ONEKANA KWA NNJE

No comments:

Post a Comment