WAKAZI WA WILAYA YA KISHAPU WAPATA MAJI YA UHAKIKA


 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasaidia kuwatwisha ndoo ya maji wakina mama wa kijiji cha Mwigumbi wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kata ya Mondo..
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsaidia kumtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mwigumbi ,wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa wa maji na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Pichani ni Tanki la Maji lenye uwezo wa kuwahudumia wakazi 4000, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alizindua mradi huo wa maji uliopo kata ya Mondo kijiji cha Mwigumbi wilaya ya Kishapu.

No comments:

Post a Comment