ZIARA YA MWENYEKITI WA WAZAZI/CCM TAIFA MH. BULEMBO WILAYA MPYA YA SIHA.Mbunge wa Siha Mheshimiwa Naibu Waziri MWanri, akumpa maelezo Mwenyekiti wa Wazazi kuhusu Mradi wa Maji ambao unatumika kusaidia vijiji vyote vya Wilaya hiyo kwa maji na ya kumwagilia mashamba ya wananchi.


Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa akizungumza na wananchi waliokusanyika kwenye mradi wa Maji wa Siha.Kupanda mti wa ukumbusho Mwenyekiti Wazazi/CCM Taifa.

Kupanda mti Mheshimiwa Mbunge Mwanri.

Kupanda mti Mwenyekiti Wazazi/CCM Mkoa wa Kilimanajaro MH. Kilawe.

Jengo jipya la kisasa Makao Makuu ya Wilaya ya Siha.


No comments:

Post a Comment