ZIARA YA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAI/CCM TAIFA MH. BULEMBO TUNDUMA WILAYANI MBOZI/MBEYA.

Kwenye Mkutano wa hadhara MWenyekiti Mh. Bulembo aliwapokea wanachama 200 waliorudi kutoka Chadema, wakiongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema kata ya Ihanda.
Shuguli ya kuwaapisha wanchama wapya waliojiunga na CCM kwenye Mkutano huo.


Mwenyekiti Mh. Bulembo pia alitembelea Shule ya Sekondari ya Jumuiya ya Wazazi Tunduma na kuongea na wanafunzi kuhusu kupandisha ada ya shule ili kuiboresha shule hiyo iweze kuingia kwenye elimu kubwa na bora zaidi.

No comments:

Post a Comment