JUMUIYA YA WAZAZI CCM TANZANIA IKISHIRIKIANA NA FAMILY FINANCE  WAANZA KUUZA HISA ZA NDANI ZA MRADI WA BENKI YA WAZAZI TAIFA .


Maandalizi hayo ya ufunguzi wa Mchakato wa Mradi wa Family Bank{T} yalipamba moto mjini Dodoma kuanzia tarehe 28/10/2012
picha zinaonyesha heka heka za maandalizi hayo ambayo Mh Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania
Mh DR JAKAYA MRISHO KIKWETE  anatarajiwa kufungua shughuli hizo za Mradi wa benki hiyo ,kama zawadi ya Jumuiya ya wazazi kutoka kwa Rais wetu.


 baadhi viongozi wanao ratibu mradi huo wakijadili mambo flani katika dodoma hotel mjini dodoma baada ya kuwasili kutokea dar-es-salaam.
 Viongozi wa mradi wakishauriana juu ya mambo flani.

No comments:

Post a Comment