ZIARA YA MWENYEKITI WA WAZAZI/CCM TAIFA HIVI KARIBUNI MKOA WA KAGERA.

Mwenyekiti Mheshimiwa Bulembo, alipowasili Bukoba Vijijini kwa ziara ya Siku moja Wilayani humo, kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa Kagera Mama Buhiye.Wajumbe Viongozi wote wa CCM Wilaya ya Bukoba Vijijini wakimsikiliza Mwenyekiti Mheshimiwa Bulembo.

No comments:

Post a Comment